Mgombea
wa nafasi ya ubunge katika jimbo la Kalenga kupitia CCM; Bw. Godfrey
Mgimwa alipokuwa anatoka baada ya kukamilisha zoezi lake la kurudisha
fomu hiyo.
Mgombea
wa nafasi ya ubunge katika jimbo la Kalenga kupitia CHADEMA; Bi Grace
Tendega alipokuwa anatoka baada ya kukamilisha zoezi lake la
WAGOMBEA
WA NAFASI YA UBUNGE KATIKA JIMBO LA KALENGA KUTOKEA VYAMA VYA CCM NA
CHADEMA WALIPOKUWA WANARUDISHA FOMU HIZO JANA KATIKA UKUMBI WA SIASA NI
KILIMO KATIKA ENEO HILO LA MANISPAA YA IRINGA, MWAKILISHI WA CCM NI
GODFREY WILLIUM MGIMWA NA KUPITIA CHADEMA NI GRACE TENDEGA AMBAO WOTE
WATAANZA KAMPENI ZAO SIKU YA KESHO YA TAREHE 19/02/2014
No comments:
Post a Comment