Dodoma. Bunge Maalumu la Katiba,
linaanza leo mjini hapa, huku kukiwa na mpasuko mkubwa miongoni mwa
wajumbe, unaotokana na misimamo tofauti.
Kipengele kinachowagawa wajumbe hao ni Muundo wa Serikali uliopendekezwa katika Rasimu ya Katiba.
Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM,
iliyokutana kwa siku mbili Mjini Dodoma imeondoka na msimamo wa kutaka
wajumbe wake wa bunge hilo kutetea hoja ya Serikali mbili huku Chadema
na CUF vinataka Serikali tatu kama ilivyopendekezwa na Tume ya
Mabadiliko ya Katiba.
Mwenyekiti wa DP, Mchungaji
Christopher Mtikila hivi karibuni alikaririwa akitishia kwenda
mahakamani kuzuia mchakato mzima wa Katiba hadi iundwe Serikali ya
Tanganyika.
Msimamo wa CCM
Akizungumza na waandishi wa habari
katika Viwanja vya CCM Mjini Dodoma jana, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa
chama hicho, Nape Nnauye alisema msimamo wa chama chake haujabadilika
na kwamba wanafanya kila liwezekanalo kuhakikisha kuwa Tanzania inabaki
na mfumo wa Serikali mbili.
"Hatuwezi kukataa mawazo ya watu
wengine, lakini kikubwa ambacho tunakisimamia ni kuhakikisha kuwa
tunabaki na Serikali mbili na ndiyo maana tumezungumza na wajumbe wa NEC
na leo (jana), tunakutana na wabunge wetu wa Bunge la Muungano na
Baraza la Wawakilishi la Zanzibar," alisema Nape.
Kuhusu kero zinazolalamikiwa na pande
zote, alisema CCM inafahamu kero nyingi na kwamba upande wa Bara kuna
kero nane na Zanzibar idadi kama hiyo.
"CCM imetengeneza mfumo mzuri wa
kuziondoa kero hizo ndani ya Serikali mbili siyo kama wenzetu ambao
wamebuni Serikali tatu eti iwe dawa ya kumaliza kero hizo kitu ambacho
hakiwezekani," alisema huku akiwataka wajumbe na Watanzania kwa jumla,
kulumbana kwa hoja badala ya kupiga kelele.
Malecela aipinga CCM
Hata hivyo, kada mkongwe aliyewahi
kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, John Malecela alitofautiana na
msimamo huo akisema si sahihi kwa viongozi kuwatungia wananchi Katiba
kama inayoonekana kufanywa na baadhi yao.
Akizungumza kwa simu kutoka Nairobi,
Kenya, Malecela alisema: "Kama tuliona inafaa kuwatungia wananchi
Katiba, hakuna ulazima wa kuwataka maoni yao. Mimi ni kiongozi na Katiba
hii ni ya wananchi, nisingependa kutoa maelekezo ya nini kifanyike,
kama viongozi wengine wanavyofanya.
"Ushauri wangu ni kwamba viongozi tusiwawekee wananchi misimamo. Tuwaache wafanye uamuzi kwa kuwa katiba hiyo ni yao."
Mnyika ataka mawazo ya umma
Mbunge wa Ubungo (Chadema), John
Mnyika, alisema anakusudia kuwasilisha mapendekezo kwamba ratiba ya
Bunge ifanyiwe mabadiliko ili kuwe na kikao cha kusikiliza mawazo ya
umma.
Alisema kwa kusikiliza mawazo hayo juu
ya kanuni hizo, kutawezesha maoni ya Watanzania wengi kusikilizwa
wakati wa maandalizi ya kanuni kabla ya Bunge kupitisha azimio la
kuridhia kanuni hizo.
Pia alisema atawasilisha hoja kwa
Katibu wa Bunge na Katibu wa Baraza la Wawakilishi ambao ndiyo
waitishaji wa mkutano huo ili kanuni hizo zisitolewe kwa wajumbe wa
Bunge hilo tu, bali ziwekwe pia kwenye tovuti za Bunge, Baraza la
Wawakilishi.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wahadhiri wa
Chuo Kikuu cha Dodoma, (Udomasa), Paul Losulite alisema anaamini kuwa
mwafaka utapatikana katika majadiliano ya bunge hilo. "Wajadiliane
lakini ifike sehemu wafahamu kuwa maoni ya wananchi lazima yaheshimiwe,"
alisema.
Aliwataka wajumbe kukubaliana katika
mambo yanayohusu masilahi ya taifa akisema si dhambi kutofautiana lakini
ni vizuri kufikia mwafaka.

«"Ushauri wangu ni kwamba viongozi tusiwawekee wananchi misimamo. Tuwaache wafanye uamuzi kwa kuwa katiba hiyo ni yao."

ni vizuri kufikia mwafaka. "Ushauri wangu ni kwamba viongozi
tusiwawekee wananchi misimamo. Tuwaache wafanye uamuzi kwa kuwa katiba
hiyo ni yao."

ni vizuri kufikia mwafaka. chanzo MWANANCHI
No comments:
Post a Comment