Rais Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan
Mwinyi, akizindua mpango maalumu na endelevu wa kumuwezesha mkulima
yeyote hapa nchi kupata trekta kwa bei nafuu kupitia ushirikiano wa
benki ya KCB Tanzania,anaeshuhudia kulia ni Diwani wa Kwadelo wilaya ya
kondoa mkoani Dodoma,Bw.Omary Kariati aliefanyikisha mradi huo na
kununua trekta(15)kwaajili ya wakulima nchini.Hafla hiyo ilifanyika
Mikocheni jijini Dar es Salaam jana.
Rais Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan
Mwinyi, akiwasha Trekta ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa mpango maalumu
na endelevu wa kumuwezesha mkulima yeyote hapa nchi kupata trekta kwa
bei nafuu kupitia ushirikiano wa benki ya KCB Tanzania, Hafla hiyo
ilifanyika nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar es Salaam.Anaeshuhudia
kulia ni Diwani wa Kwadelo wilaya ya kondoa mkoani Dodoma,Bw.Omary
Kariati aliefanyikisha mradi huo na kununua trekta(15)kwaajili ya
wakulima nchini.
Rais Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan
Mwinyi, akiangalia moja ya Trekta kati ya(15) kabla ya kuzindua mradi
endelevu wa kumuwezesha mkulima yeyote hapa nchi kupata trekta kwa
bei nafuu kwa ushirikiano na benki ya KCB Tanzania na Diwani wa kata ya
Kwadelo Bw.Omary Kariati.Hafla hiyo ilifanyika nyumbani kwake Mikocheni
jijini Dar es Salaam.
Rais Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan
Mwinyi, akiongea wakati wa hafla ya uzinduzi wa mpango maalumu na
endelevu wa kumuwezesha mkulima yeyote hapa nchi kupata trekta kwa bei
nafuu kupitia ushirikiano wa benki ya KCB Tanzania na Diwani wa kata ya
kwadelo wilaya ya kondoa mkoani Dodoma, Bw.Omary Kariati wapili
kushoto. Hafla hiyo ilifanyika nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar es
Salaam.
Baadhi ya wakuliama wa kata ya Kwadelo
wilaya ya kondoa mkoani Dodoma wakimsikiliza Rais Mstaafu wa awamu ya
pili Ali Hassan Mwinyi,(hayupo pichani)akiongea wakati wa makabidhiano
rasmi wa Trekta(15)kuzindua mradi endelevu wa kumuwezesha mkulima yeyote
hapa nchi kupata trekta kwa bei nafuu kwa ushirikiano na benki ya KCB
Tanzania na Diwani wa kata ya Kwadelo Bw.Omary Kariati.
Rais Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan
Mwinyi, akisalimiana na Mkurugenzi wa ushirikiano wa kibenki wa benki ya
KCB Tanzania,Bw.Frank Nyabundege(kushoto)wakati wa hafla ya uzinduzi wa
mpango maalumu na endelevu wa kumuwezesha mkulima yeyote hapa nchi
kupata trekta kwa bei nafuu kupitia ushirikiano wa benki ya KCB
Tanzania na Diwani wa kata ya kwadelo wilaya ya kondoa mkoani Dodoma,
Bw.Omary Kariati(kulia). Hafla hiyo ilifanyika nyumbani kwake Mikocheni
jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment