Baada
ya ndege ya Air Malaysia kupotea Mtabiri TB Joshua Alisema Kuwa Ndege
hiyo itakuwa imeanguka Kwenye Bahari ya Hindi na Hakuna Aliyepona
,,,Utabiri huo kwa wengi ulichukuliwa kama mzaha lakini leo imedhihirika
tena kwa mara nyingine kuwa utabiri wake ni wa Kweli , kwani
imethibitika kuwa ndege hiyo ilianguka kwenye bahari hiyo na hakuna
aliye pona...
No comments:
Post a Comment