Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizindua Bwawa la Maji la Mkata wilayani Handeni leoRais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua baadhi ya madume bora ya
ng’ombe na kisha kuwakabidhi baadhi ya wafugaji katika kijiji cha
Msomela wilayni Handeni leo.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza mmoja wa wafugaji
mwenye asili ya kimasai bwana Shayo Lahoda aliyegawiwa dume bora la
ng’ombe katika kijiji cha Msomela wilayani handeni leo
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na ngoma za utamaduni baada ya kuzindua Bwawa la Maji la Mkata wilayani Handeni leoRais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua Bwawa la maji la Mkata muda mfupi baada ya kulizindua huko Mkata wilayani Handeni Mkoa wa Tanga leo asubuhi.Rais Kikwete yupo Mkoani Tanga kwa ziara ya kikazi kukagua na kuzindua miradi ya maendeleo. Picha na Freddy Maro wa Ikulu

No comments:
Post a Comment