Wednesday, March 5, 2014

TAZAMA PICHA KITUO CHA MABASI UBUNGO KIKIVUNJWA PAMOJA NA FOLENI YA UBUNGO


Mafundi wakivunja vibanda vya kukatia tiketi eneo la Ubungo Dar.
Foleni ya magari Ubungo inayosababishwa na ujenzi mpya wa Barabara ya Morogoro.
Bodaboda hawako nyuma kushawishi abiria washuke ndani ya daladala ili wapande kwenye ‘mausafiri yao’.

No comments:

Post a Comment