Tuesday, February 18, 2014

PICHA WAGOMBEA WA UBUNGE JIMBO LA KALENGA WALIPORUDISHA FOMU ZAO JANA

ccm_1_056ed.jpg


Mgombea wa nafasi ya ubunge katika jimbo la Kalenga kupitia CCM; Bw. Godfrey Mgimwa alipokuwa anatoka baada ya kukamilisha zoezi lake la kurudisha fomu hiyo.
chadema_4_4302c.jpg
Mgombea wa nafasi ya ubunge katika jimbo la Kalenga kupitia CHADEMA; Bi Grace Tendega alipokuwa anatoka baada ya kukamilisha zoezi lake la 
WAGOMBEA WA NAFASI YA UBUNGE KATIKA JIMBO LA KALENGA KUTOKEA VYAMA VYA CCM NA CHADEMA WALIPOKUWA WANARUDISHA FOMU HIZO JANA KATIKA UKUMBI WA SIASA NI KILIMO KATIKA ENEO HILO LA MANISPAA YA IRINGA, MWAKILISHI WA CCM NI GODFREY WILLIUM MGIMWA NA KUPITIA CHADEMA NI GRACE TENDEGA AMBAO WOTE WATAANZA KAMPENI ZAO SIKU YA KESHO YA TAREHE 19/02/2014

No comments:

Post a Comment