Kwanza kabisa Nnaanza kwa kuwasalimu wote mabibi na mabwana,...
Asalaam Aleykum,....
Tumsifu Yesu Kristo,....
Bwana Yesu Asifiwe...
Poleni kwa
majukumu yetu ya kila siku ya kutafuta riziki,na ujenzi wa taifa letu.Kwa sasa
kuna wamiliki wa mitandao ya kijamii (Blogs) isiyopungua 50,000+ hapa kwetu
nchini Tanzania.
Hivyo mojawapo ya
sifa ya uandishi hasa kwa wana habari ni ubunifu.Ninaamini kwamba hapo ulipo
sipo ulipohitaji kuwepo miaka mitano iliyopita au miaka mitano ijayo kwani
yawezekana wewe au mimi tunaweza kufanikiwa zaidi.
Swali:Je,Ni mara
ngapi tunapata kipato kutokana na Blog Zetu Hizi?
Kwa kulifikiria
hilo tumeona ni vyema kutumia mitandao yetu ya kijamii kujiingizia kipato,kwani
tunatumia mitandao hii kupashana habari kama jukumu kuu,lakini pia ni vyema
tujitahidi iwe kama ajira rasmi ya kujiajiri kwani katika nchi zilizoendelea
kila kitu kinatumika kuingiza fedha za kuendesha maisha yako ya kila siku.
Tafadhali kama una
malengo ya mafanikio zaidi ya haya uliyo nayo kwa kutumia blogu yako,usikose kikao
kifupi tarehe 12/4/2014 kuanzia saa nane kamili mchana katika hoteli ya Holiday
Inn mtaa wa azikiwe jijini Dar es salaam kwani tutapeana fursa ambayo itakuwa
mojawapo ya njia ya kingiza kipato kwa kutumia mtandao wako wa kijamii (Blog) unaomiliki.
Imetolewa na
|
JINA
|
SIMU
|
1.
|
Mr.Khushe.M.Hauli (Mwezeshaji)
|
0784-488 488
|
No comments:
Post a Comment