Wajumbe
wa Kamati ya Uongozi ya Bunge Maalum la Katiba wakiwa katika kikao cha
Kamati hiyo leo mjini Dodoma, kilichokuwa kikijadili mambo mbalimbali
ikiwemo jinisi ya kuwasaidia waathirika wa mafuriko yaliyotokea hivi
karibuni.
Mwenyekiti
wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta(kushoto) akiongoza kikao cha
Kamati ya Uongozi wa Bunge hilo leo mjini Dodoma wakati wakijadili
mambo mbalimbali ikiwemo jinisi ya kuwasaidia waathirika wa mafuriko
yaliyotokea hivi karibuni. Kulia ni Katibu wa Bunge hilo Yahya Khamis
Hamad.
Mjumbe wa Kamati ya Uongozi ya Bunge Maalum la Katiba Pande Ameir Kificho akitoa mchango wake wakati wa kikao cha Kamati hiyo leo mjini Dodoma, kilichokuwa kikijadili mambo mbalimbali ikiwemo jinisi ya kuwasaidia waathirika wa mafuriko yaliyotokea hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment