Kanisa Katoliki Jimbo kuu la Tabora ambalo limedaiwa kutaka kulipuliwa
majira ya saa nne asubuhi ya leo baada ya kubainika kuwa mtu mmoja
ambaye alifika Kanisani hapo na kutaka kumrubuni mlinzi kwa kumpatia
kiasi cha shilingi elfu ishirini ili aweze kutekeleza dhamira yake
ambayo haikufanikiwa baada mlinzi kutoa taarifa kwa uongozi wa Kanisa
hilo ambao walitoa taarifa kwa makachero wa Jeshi la Polisi Tabora na
kufanikiwa kukamatwa kwa mtu huyo.
No comments:
Post a Comment