Friday, April 4, 2014

NEWS: KANISA KATOLIKI JIMBO KUU TABORA LADAIWA KUTAKA KULIPULIWA


Kanisa Katoliki Jimbo kuu la Tabora ambalo limedaiwa kutaka kulipuliwa majira ya saa nne asubuhi ya leo baada ya kubainika kuwa mtu mmoja ambaye alifika Kanisani hapo na kutaka kumrubuni mlinzi kwa kumpatia kiasi cha shilingi elfu ishirini ili aweze kutekeleza dhamira yake ambayo haikufanikiwa baada mlinzi kutoa taarifa kwa uongozi wa Kanisa hilo ambao walitoa taarifa kwa makachero wa Jeshi la Polisi Tabora na kufanikiwa kukamatwa kwa mtu huyo.

No comments:

Post a Comment