Thursday, April 17, 2014

Angalia Yanayojiri katika Bunge Maalum la Katiba-Dodoma

kamati_af0f6.jpg
Wajumbe wa Kamati ya Uongozi ya Bunge Maalum la Katiba wakiwa katika kikao cha Kamati hiyo leo mjini Dodoma, kilichokuwa kikijadili mambo mbalimbali ikiwemo jinisi ya kuwasaidia waathirika wa mafuriko yaliyotokea hivi karibuni.
sitaa_e5cc8.jpg
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta(kushoto) akiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi wa Bunge hilo  leo mjini Dodoma wakati wakijadili mambo mbalimbali ikiwemo jinisi ya kuwasaidia waathirika wa mafuriko yaliyotokea hivi karibuni. Kulia ni Katibu wa Bunge hilo Yahya Khamis Hamad.


pundu_ec740.jpg
Mjumbe wa Kamati ya Uongozi ya Bunge Maalum la Katiba Pande Ameir Kificho akitoa mchango wake wakati wa kikao cha Kamati hiyo leo mjini Dodoma, kilichokuwa kikijadili mambo mbalimbali ikiwemo jinisi ya kuwasaidia waathirika wa mafuriko yaliyotokea hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment