Wednesday, March 5, 2014

TASWIRA MBALIMBALI KWENYE BUNGE LA KATIBA JANA MJINI DODOMA

 Mjumbe Mhe. Tundu Lissu akitoa ufafanuzi ya moja ya hoja zilizowekwa mezani na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakati wa majadiliano ya rasimu za kanuni
 Mjumbe Mhe Evod Mmanda akijibu hoja
Mjumbe Mhe. George Simbachawene akitoa ufafanuzi. 
Mjumbe wa kamati ya kuandaa rasimu ya kanuni  ambaye pia anatoka kundi la walemavu Mhe. Amon Anastaz Mpanju akijibu hoja za wabunge. 
(Picha na Deusdedit Moshi)
Categories:

No comments:

Post a Comment